GOSPEL

Zabron Singers – Mkono wa Bwana

DOWNLOAD MP3 Zabron Singers - Mkono wa Bwana AUDIO

Tanzanian recording gospel music band, Zabron Singers comes through with a new song tagged Mkono wa Bwana.

RELATED: Zabron Singers – Sweetie Sweetie!

Zabron Singers is an evangelical group that was established in Kahama, Tanzania. From 2006 to 2015, more than 600 individuals were baptized as a result of the work that the group does in Tz.

QUOTES LYRICS

Mmmmmmm ah ah ah ah
Tumeuona mkono wake bwana

Mengi mazuri tumeyaona,
Mungu umetenda
Ni kweli we muweza

Ulitamka vitu vikawa
Neno tu latosha
Ukisema umetenda

Bahari shamu Isiraeli
Ah uliwavusha
Ukawatoa utumwani

Watumishi wako umewapa
Yote waombayo
Ikiwa umependezwa

Uamulo hakuna wa kulipinga
Hakika we ni Mungu, wa vyote
Unatawala dunia na vilivyomo
Makuu umeyatenda, Jehova
Hakika tumeona

Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono

Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini, chini, chini)

DOWNLOAD MP3 Zabron Singers – Mkono wa Bwana AUDIO

DOWNLOAD MP3

Leave a Comment